GET /api/v0.1/hansard/entries/983043/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 983043,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/983043/?format=api",
    "text_counter": 452,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mosop, JP",
    "speaker_title": "Hon. Vincent Tuwei",
    "speaker": {
        "id": 13436,
        "legal_name": "Vincent Kipkurui Tuwei",
        "slug": "vincent-kipkurui-tuwei"
    },
    "content": "kazi ya siasa. Kama mtoto wa mzee, nilipata nafasi ya kufanya kazi na yeye. Miaka 32 iliyopita, nilijuana na yeye nikiwa katika Rift Valley Institute of Science and Technology mahali ambapo tulikaribiana sana. Baadaye, tulifanya kazi pamoja na ninamshukuru kwa sababu alitujenga kama watoto wake na vilevile kuweka msingi katika nchi hii."
}