GET /api/v0.1/hansard/entries/983099/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 983099,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/983099/?format=api",
"text_counter": 508,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kabete, JP",
"speaker_title": "Hon. James Wamacukuru",
"speaker": {
"id": 13351,
"legal_name": "James Githua Kamau Wamacukuru",
"slug": "james-githua-kamau-wamacukuru"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Spika. Kwa niaba ya watu wa Kabete, familia yangu na mimi mwenyewe, naleta ujumbe wangu wa rambirambi kwa familia ya Mzee Moi. Twakumbuka Mzee Moi kwa mambo kadha wa kadha kukiwemo ukarimu wake na maziwa ya watoto wa Nyayo. Pia, twamkumbuka kwa kuleta amani, undugu na upendo. Twamkumbuka kwa unyenyekevu wake aliponyenyekea na kuomba msamaha. Mwisho, twamkumbuka kwa kupeana uhuru wa kuabudu."
}