GET /api/v0.1/hansard/entries/983113/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 983113,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/983113/?format=api",
    "text_counter": 522,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Rabai, ODM",
    "speaker_title": "Hon. William Mwamkale",
    "speaker": {
        "id": 2672,
        "legal_name": "William Kamoti Mwamkale",
        "slug": "william-kamoti-mwamkale"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika, kwa nafasi hii. Kwa niaba ya wakaazi wa Eneo Bunge la Rabai na wakaazi wa Kilifi, napeana rambirambi zetu kwa familia ikiongozwa na Raymond na Gideon, ambao ni Waheshimiwa wenzetu. Pia nasema pole kwa Wakenya wote. Naomba tu viongozi wa nchi hii, hasa wale wanaoshikilia hatamu za The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}