GET /api/v0.1/hansard/entries/983114/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 983114,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/983114/?format=api",
    "text_counter": 523,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Rabai, ODM",
    "speaker_title": "Hon. William Mwamkale",
    "speaker": {
        "id": 2672,
        "legal_name": "William Kamoti Mwamkale",
        "slug": "william-kamoti-mwamkale"
    },
    "content": "kuongoza nchi ya Kenya waige mfano wa Rais Moi. Nasema hivyo kwa sababu juu ya yote, ulikuwa ukiangalia Baraza la Mawaziri la Moi unaona sura ya Kenya. Siku hizi, mambo ni tofauti. Kwa hivyo, viongozi wanaoongoza Kenya hii waige mfano wa Moi na waweke amani na upendo mbele."
}