GET /api/v0.1/hansard/entries/983845/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 983845,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/983845/?format=api",
    "text_counter": 210,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, kitu cha kwanza Serikali inafaa kufanya ni kuangalia vifaa vya kazi. Pole Bi. Spika wa Muda kwa sababu nimekurejelea kama Bw. Spika wa Muda. Sijui kama watu wanaelewa Kiswahili kwa sababu sikusikia point of order. Hata hivyo, nashukuru kwa sababu nimejirekebisha. Najua kuwa Sen. Wambua anatoka Kitui---"
}