GET /api/v0.1/hansard/entries/983849/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 983849,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/983849/?format=api",
"text_counter": 214,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Ni Jambo la nidhamu. Nimemsikia Sen. Madzayo akisema ya kwamba Waziri ambaye amepewa jukumu la kuangalia mambo ya afya ni mtu jasiri na ako ueledi katika kazi yake. Lakini, Mswahili husema: “Usikate kanzu kabla ya mtoto kuzaliwa.” Yeye amekuwa Waziri kwa muda wa wiki mbili. Tungempa mwezi mmoja au miwili ndio aweze kutuambia kwa mapana na marefu. Lakini kutangaza tu kuwa kuna visa vya Virusi vya Korona sio ujasiri. Ujasiri ni kusema kwamba tumewatibu watu watano kati ya watu 20. Kwa hivyo sioni kwamba ni dhahiri wakati huu kusema ya kwamba Waziri ni jasiri."
}