GET /api/v0.1/hansard/entries/983852/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 983852,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/983852/?format=api",
    "text_counter": 217,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, wakati ninaongea Maseneta wawili wako mbele yangu. Je, hii ni haki? Vifaa ambavyo viko katika hospitali ni nadhifu. Aidha havifai, haviwezi kuzuia ugonjwa ama havitoshi. Juzi tuliona kwamba katika hospitali ya Mbagathi na sehemu mbali mbali Kenya bado madaktari na wasaidizi wao wanaofanya kazi na mikono mikavu. Katika nchi zingine tunaona kuwa kuna vifaa vya kujilinda kutokana na Virusi vya Korona. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}