GET /api/v0.1/hansard/entries/983855/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 983855,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/983855/?format=api",
"text_counter": 220,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "ni ghali sana kwa mwananchi. Juzi nilinunua kwa bei ya Kshs2,000. Gharama hiyo inaweza kununua chakula cha siku kadhaa kwa mwananchi wa kawaida. Serikali inapaswa kuthibiti bei ya dawa hii ya kusafisha mikono ili virusi viweze kumalizika. Mwisho, namuunga mkono Sen. Olekina kwa kusema kwamba ndugu zetu wanaofanya kazi kule viwandani na kazi zingine za mapato madogo. Serikali inafaa kuchukua hatua ya kupanga mikakati ili watu kama hao wapewe nafasi ya kuvuta pumzi ili wasilipe kodi ya nyumba wanamoishi. Hii itahakikisha kwamba wanabaki nyumbani na kuepuka hili janga la Virusi vya Korona. Asante Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa wakati huu."
}