GET /api/v0.1/hansard/entries/986528/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 986528,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/986528/?format=api",
"text_counter": 188,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "kulipishwa chochote kwa sababu hili janga, ni kama lile la Virusi vya Korona, ambapo wagonjwa hawalipi. Tunaomba serikali za kaunti na Serikali Kuu wasilipishe watu walioathirika na janga hii. Hili janga si katika kaunti hizo mbili peke yake. Pia kuna mafuriko Tana River. Taita Taveta kuna nyumba zilizoanguka. Kama kuna mpangilio wowote wa kusaidia wananchi walioathirika, basi ifanyike kule Elgeyo-Marakwet, Pokot, Tana River, Taita Taveta na kaunti zingine zilizoathirika."
}