GET /api/v0.1/hansard/entries/989937/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 989937,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/989937/?format=api",
"text_counter": 667,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taveta, JP",
"speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": " Mhe. Naibu Spika wa Muda, asante sana kwa kunipatia fursa hii. Ningetaka tu kuipongeza Kamati hii kwa kazi nzuri iliyofanya, nakuipongeza bodi yenyewe pia ilivyofanya kazi nzuri hadi Waziri akaona ampatie Bw. Yusuf Mbuno kazi hii ya kusimamaia Hazina hii ya maendeleo katika Maeneo Bunge. La muhimu ni kujua kuwa Yusuf Mbuno amezoea kazi, ameiva na kubobea kwenye kazi na sasa ndio ataweza kutufanyia kazi kisawa sawa humu nchini kuhakikisha kwamba hazina hii inatumika kisawa sawa. Naunga mkono uamuzi huu."
}