GET /api/v0.1/hansard/entries/990323/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 990323,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/990323/?format=api",
    "text_counter": 361,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Langu ni kwamba, mkondo uliochukuliwa na Serikali kuwafurusha watu hapa Nairobi ndivyo ilivyo Kilifi. Juzi wametoa Malindi nzima wakapiga watu kila mahali. Wamenunua mijeledi ya kuchapa watu. Sijui ni sheria gani katika Serikali hii inasema polisi sasa wanaweza kutumia mjeledi kuchapa Mkenya mwingine. Ni lazima heshima iwepo. Mkenya ana haki ya kuishi hapa na kuheshimiwa."
}