GET /api/v0.1/hansard/entries/990372/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 990372,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/990372/?format=api",
"text_counter": 410,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia taarifa ya Seneta wa Nairobi, Sen. Sakaja. Swala la watu kufurushwa katika makaazi yao limekuwa ni jambo la kawaida katika nchi hii. Kule Mombasa, imekuwa kila wiki unapata ripoti za watu kufurushwa, hasa maeneo ya Bamburi. Imekuwa ni kama mchezo wa paka na panya. Hii ni kwa sababu hata ukimwonyesha mhusika Officer Commanding Police Station (OCS) kwamba hakuna amri ya korti yoyote inayotekelezwa hivi sasa, anakwenda mpaka siku za Jumapili ambapo watu wameenda kanisani na kufurusha wanachi ambao wako nyumbani. Bw. Spika, kisa cha Nakuru cha juzi kilikuwa ni cha kusikitiza, kwa sababu"
}