GET /api/v0.1/hansard/entries/990378/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 990378,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/990378/?format=api",
"text_counter": 416,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, Jumapili ni siku ya kanisa. Kama watu waenda kanisani ama hawaendi, ni suala jingine. Jumapili twajuwa ni siku ya kanisa kama vile Ijumaa ni siku ya ibada ya Waislamu. Kwa hivyo, kama watu wanaenda au hawaendi, hiyo ni siku ya amani, watu wanapumzika na hakuna kazi inayofanyika. Swala la Nakuru; mwenye biashara Mombasa Maize Millers halali. Yadi yake ilivamiwa usiku wakati kuna curfew. Sisi tunajuwa ya kwamba mwananchi akipatikana barabarani wakati wa curfew, huwa ni hatia kubwa. Unapelekwa quarantine na baada kumaliza quarantine, unalipishwa. Kuna wengine walipigwa wakauliwa wakati wa"
}