GET /api/v0.1/hansard/entries/990696/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 990696,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/990696/?format=api",
"text_counter": 256,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "Mkenya ambaye hana hatia yeyote na bila ya kutaka kwake na kumlazimisha kukaa katika karantini. Na baadaye unamwambia alipe Ksh2,000 kwa siku. Kando na hilo, tunazungumza kuwa wale ambao watakaopelekwa karantini, lazima Serikali, kama ilivyo katika nchi zingine zote duniani, watu ambao wanaweza kukaa katika Nyumba zao, waweze kukubaliwa. Hili ni jambo ambalo limezungumziwa na Wizara ya Afya na ambalo tumeweza kulijadili na Serikali za Kaunti. Hivi leo ni aibu yakuwa watu wanazuiliwa kutoka katika zile karantini, kisa na sababu hamna. Mwisho Bw. Spika wa Muda…"
}