GET /api/v0.1/hansard/entries/990730/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 990730,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/990730/?format=api",
"text_counter": 290,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "Pili, ni jambo kila mmoja wetu analifahamu, nina Imani kwamba hakuna yeyote hapa atakayeweza kukubali Mkenya alipishwe amana ambayo hana hatia yoyote. Nimezungumzia hili kwa lugha inayofahamika. Nikimalizia, ninataka kutoa usisitizo kwa unyenyekevu kama vile anavyozungumza Mhe. Aden Duale kuwa hakuna yeyote katika hili Bunge pamoja na magavana ambaye ana ruhusa ya kusema kwamba, hakuna watu kutembea kuhusiana na lockdown .” Kwa hivyo, nawasihi wenzangu wote tuchunge hali zilivyo.…"
}