GET /api/v0.1/hansard/entries/991059/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 991059,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/991059/?format=api",
    "text_counter": 262,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": "Kwanza, nimezungumza kuhusiana na amana ya karantina. Si sawa Wakenya kuchukuliwa na kuambiwa walipe ile amana. Pili, nimezungumzia wale ambao wako na nafasi ndani ya nyumba zao wakubaliwe kufanya karantina nyumbani mwao. Hilo ni jambo ambalo Wizara ya Afya na serikali za kaunti wamekubali. Ni aibu kwamba Serikali ya Kaunti ya Mombasa imeshatumia zaidi ya Ksh20 milioni kuwalipia watu ambao walikua wamezuiliwa kwenye makazi ya karantina."
}