GET /api/v0.1/hansard/entries/991789/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 991789,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/991789/?format=api",
"text_counter": 94,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, kulingana na sheria zetu za Bunge Kipengele 47 (1) ninasimama kuongea kuhusu jambo ambalo linahusika na kaunti, kuhusu kubakwa na kuuawa kinyama kwa msichana, ilhali alikuwa ni mototo mdogo sana wa miaka 16. Anaitwa Margaret Shukrani Masha."
}