GET /api/v0.1/hansard/entries/992215/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 992215,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/992215/?format=api",
    "text_counter": 192,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante Bw. Naibu Spika. Ninavyoelewa kisheria ni kwamba wakati Bw. Spika ameshatoa wasilisho na kuweka sababu zake mbele ya Bunge, huwa ule ni uamuzi wa Spika. Na kama amefanya uamuzi wake, itakuwa si sawa kisheria sisi kama Bunge la Seneti, kuanza kujadili huo uamuzi. Kisheria, Spika sasa amekuwa functus officio kulingana na hilo jambo ambalo ametoa uamuzi wake. Ninashindwa ni kwa sababu gani tunakuja alasiri na kusema kwamba tufungue tena majadiliano kuhusiana na yale aliyoamua Bw. Spika."
}