GET /api/v0.1/hansard/entries/992500/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 992500,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/992500/?format=api",
"text_counter": 477,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, nataka kumpatia kongole ndugu yangu, Sen. Poghisio, kwa kuchaguliwa kama kiongozi wa walio wengi Seneti. Wahenga walisema ya kwamba, maji yakimwagika, hayazoleki. Kwa hivyo, nataka kumpatia nguvu dadangu Sen. Kihika na ndugu yangu, Sen. Murkomen na kuwaomba ya kwamba wakubali yale ambayo yametendeka. Wasitapetape hapa na pale. Wao ni Maseneta wa Elgeyo Marakwet na Nakuru. Kwa hivyo, wafanye kazi na juhudi zao zitaonekana na wale ambao waliowapigia kura. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}