GET /api/v0.1/hansard/entries/992501/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 992501,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/992501/?format=api",
"text_counter": 478,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Kuna msomi mmoja aliyeishi miaka mingi iliyopita aliyekuwa anaitwa Machiavelli. Alisema ya kwamba, ‘usijifanye mwerevu kuliko bosi wako’. Leo, nikiwa mwanachama wa Ford Kenya, siwezi kuwa mwerevu zaidi ya ndugu yangu Sen. Wetangula. Hii ni kwa sababu ataniambia eti atanichapa kiboko na yuko na huo uwezo wa kunichapa. Kwa hivyo, tunajifunza mengi kwa wale wahenga. Vile vile, bosi wako ni bosi wako hata kama haukubaliani naye kwa sababu yuko na mbinu, njia na akili na hio ndio sababu ni bosi wako. Kwa hivyo, ningependa kuwatia moyo ndugu zangu na kuwaambia ya kwamba sisi sote tuko hapa kwa sababu ya vyama vyetu. Mimi niko ODM. Nikitaka kuketi vizuri kwa hii chama, ni lazima nimheshimu Baba, Raila Amolo Odinga. Bila hiyo, siwezi kuwa kwa katika Bunge la Seneti. Kama huwezi kuheshimu kiongozi wa chama chako, basi huna haki ya kuketi katika Bunge la Seneti ama Bunge la Kitaifa. Hii ni kwa sababu huwezi kupewa tiketi bila ruhusa ya chama chako. Sisi sote tuko hapa kwa sababu ya chama zetu. Wakati ikiisha na chama yako iseme ya kwamba usichukue hiyo kiti---"
}