GET /api/v0.1/hansard/entries/992845/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 992845,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/992845/?format=api",
    "text_counter": 121,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante sana, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Kwanza, Taarifa hii ya Sen. (Dr.) Mwaura ni uwaledi mwingi. Heko kwake kwa kuileta katika Seneti. Serikali kuu imejaribu kiasi cha haja kwa sababu kuna ushuru fulani unaotozwa, tayari wameuondoa. Lakini ukiangalia katika kaunti zetu, utaona watu wanaouza vitu rejareja kama nyanya, nguo za mitumba na bidhaa nyingi barabarani, hao wanaendelea kutozwa ushuru wa kiwango cha Kshs50 au Kshs100. Wakati huu kuna janga la COVID-19 na kupata mnunuzi wa bidhaa si rahisi. Wanapata wateja kati ya 6.00 p.m. hadi 8.00 p.m . Curfew imewaathiri sana. Kwa hivyo, wanauza kwa muda wa dakika 30 pekee. Kaunti zetu zinapaswa zichukulie jambo hili kwa ugumu zaidi ili waweze kutuwasaidia watu wanaofanya biashara za rejareja. Hii ni kwa sababu hawa pesa za kulipa ushuru huo. Ukitembea kule kwetu Nyahururu, Nanyuki au Rumuruti utaona ndugu zetu ambao wameajiriwa na kaunti na wanavaa koti za manjano wanafukuza akina The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}