GET /api/v0.1/hansard/entries/992846/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 992846,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/992846/?format=api",
"text_counter": 122,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "mama na watu wengi wanaofanya biasahara za rejareja mithili ya watu walioiba. Wangewapa afueni wasilipe ushuru huo wakati huu wa ugonjwa COVID-19. Ikiwa hawa wauzaji rejareja hawatakufa na ugonjwa huu wa COVID-19, basi watakufaa njaa. Hii ni kwa sababu watu hawa hawana pesa za kununua chakula. Ningependa kuwaomba magavana wa kaunti zetu na wale wengine wanaohusika, waangalie watu wetu wakati huu. Angalau waondoe ushuru huo wa Kshs50 au Kshs100. Ushuru huo unatozwa wanaofanya biashara za rejareja kama ile ya kinyozi, wanaouza nyanya, mboga na nguo wakitembeza hapa na pale. Watu hawa ndio wanagandamizwa zaidi. Watu hawa hufanya biashara zao kwa muda wa dakika 30. Hii ni kwa sababu kama hautashikwa na askari wa kaunti, utashikwa baada ya saa moja au kwa kutovaa baragoa."
}