GET /api/v0.1/hansard/entries/992886/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 992886,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/992886/?format=api",
    "text_counter": 162,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "La mwisho ni kuwa kuna Kamati ya Sheria, na karibu Maseneta wote katika hiyo Kamati ni wanasheria. Kwa hivyo, tuliwapa jukumu la kufuatilia kesi hii. Wengine wetu tulipokua pamoja tulijukumika na hatimaye tumepata mazao. Ni muhimu kuangalia haya mazao na kujua mwelekeo wetu utakua vipi kuanzia sasa mpaka siku za usoni."
}