GET /api/v0.1/hansard/entries/993061/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 993061,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/993061/?format=api",
"text_counter": 32,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, ni jambo njema sisi kama Maseneta kuona kuwa kuna udhaifu jinsi tunavyopiga kura hapa. Ni vizuri umefafanua kwa uwazi kabisa jinsi ya kushughulikia kazi hapa Bungeni. Kanuni za Bunge la Seneti zina umuhimu kuona jinsi tunaweza kujipanga kutumia teknolojia kufanya kazi wakati huu wa COVID-19. Kanuni za Bunge la Seneti zinafaa kugeuzwa ili kuambatana na wakati mgumu tulio nao sasa na siku za mbeleni."
}