GET /api/v0.1/hansard/entries/993431/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 993431,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/993431/?format=api",
    "text_counter": 235,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, taratibu ni kwamba, na tunavvyoelewa, Sen. Kang’ata ni seneta wa Muranga. Tukiambiwa ya kwamba Sen. Kang’ata ni mfanyikazi ama mtumishi wa State House, hiyo hatuelewi. Kama ni hivyo, basi, hafai kuketi hapa. Kama anaketi State House amekuja kufanya nini ndani ya Bunge la Seneti na alichaguliwa na watu wa Murang’a? Ni sawa sawa ikiwa ndugu yangu ambaye ni rafiki yangu, Sen. Cherargei, kutumia lugha kama hiyo?"
}