GET /api/v0.1/hansard/entries/993487/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 993487,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/993487/?format=api",
"text_counter": 291,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Nampa wasia ndugu yangu kwa imani kuu. Yeye afunge huu usia wangu kwenye vidole vyake na autunze kama mboni za macho yake. Ukiangalia mbele, kama ni siasa, ni lazima ufuate mkondo wa maji. Tunaona mafuriko hapa Kenya. Yale maji yanavyoteremka yanabeba kila kitu, hata miti. Wewe sasa umejipata katika panda hiyo."
}