GET /api/v0.1/hansard/entries/993517/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 993517,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/993517/?format=api",
"text_counter": 321,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "hivyo, itakuwa ni ile mambo kiingereza tunaita “musical chairs.” Leo inapigwa kwa huyu na kesho inapigwa kwa yule na hakuna njia ambayo tunaweza kujitetea. Sisi Waswahili tunasema muungwana akivuliwa nguo huinama. Nitamalizia hapo na ninaunga mkono Hoja hii."
}