GET /api/v0.1/hansard/entries/993563/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 993563,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/993563/?format=api",
    "text_counter": 367,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, kwa heshima na taadhima kuu ya Seneti, nauliza tu iwapo tunaweza kutafakari kwamba tuko katika Mwezi wa Ramadhan. Tuko na dada na ndugu zetu wa Kiislamu, na hata Sen. Haji ambaye ni baba yangu. Ikiwezekena, pengine tungefupisha ama tungesema huyu awe wa mwisho. Tukifanya hivyo, watapata nafasi ya kwenda Msikitini kuomba halafu waende wachukue futari wafungue mwadhini. Ninakusihi sana tupunguze muda wa kuongea."
}