GET /api/v0.1/hansard/entries/993567/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 993567,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/993567/?format=api",
"text_counter": 371,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Siku ya leo itabaki katika kumbukumbu. Nimesikiza kwa mapana na marefu. Nimesikiza Hoja yenyewe na tuhuma zilozoletwa kumhusu Naibu wa Spika na kuziweka mizani. Kwenye mizani nimeweka tuhuma pamoja na utenda kazi wake. Ukweli usemwe kwa sababu Mswahili husema mghala muue na haki mpe. Ukiweka katika mizani kazi aliyofanya, inaonekana ni kazi ambayo sisi wenyewe--- Napinga Hoja hii leo, kesho na hata milele. Huo ndio ukweli na ukweli unapaswa kusemwa. Yeye aliongoza hapa akiwa amekalia kiti hicho na ameleta tabasamu badala ya mgawanyiko katika hii Seneti yetu. Sisi wenyewe badala ya kumpa \"kongowea\"-- Nilidhani tunakuja hapa leo kumpa kongole na pongezi kwa kazi nzuri aliyofanya. Ninasikia Maseneta wenzangu wakiongea wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwa sababu---"
}