GET /api/v0.1/hansard/entries/993570/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 993570,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/993570/?format=api",
"text_counter": 374,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Sakaja",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13131,
"legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
"slug": "johnson-arthur-sakaja"
},
"content": "Bw. Spika, hawa wenzetu ambao wanazungumza Kiswahili leo wanatukanganya. Kuna mwingine amesema “kulamba lolo” na mwingine sasa anasema “tungempa kongowea.” Jamani, waeleze watumie Kiswahili sanifu wala sio sheng ama maneno mengine. “Kulamba lolo” ni sheng. Pia tunasema kongole sio kongolea."
}