GET /api/v0.1/hansard/entries/993575/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 993575,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/993575/?format=api",
    "text_counter": 379,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, kwa heshima, najua Sen. Kinyua anaongea na singependa kumwingilia. Hata hivyo, amesema hapa kwamba tunampaka Sen. (Prof.) Kindiki mafuta kwa mgongo wa chupa. Ni kwamba ati tunayoongea hapa, sisi tunandanganya. Tukimtia moyo, tunamdanganya. Kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ni kumdanganya mtu lakini sio vile anavyosema."
}