GET /api/v0.1/hansard/entries/993775/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 993775,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/993775/?format=api",
    "text_counter": 81,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Ingekuwa vyema iwapo wakulima wa nanasi, maembe na kadhalika, huko Magarini, wangepata msaada wa kutosha ili kujikimu na hata kusaidia watu wengine. La kusikitisha zaidi ni kwamba, katika kaunti za Kilifi na Tana River, tulibarikiwa na mradi wa Galana-Kulalu. Leo, ni aibu kwamba ufisadi uliingia katika mradi huo. Rais mwenyewe alipoanzisha Serikali, walikuwa na matumaini makuu kwamba Kenya haitakuwa na njaa tena. Angalia Galana-Kulalu iko wapi leo? Wameiua kwa sababu ya ufisadi. Mradi wa Galana-Kulalu ulichukua ekari kubwa sana; dunia mzima katika eneo la kaunti za Kilifi hadi Tana River. Hata hivyo, utaona kwamba---"
}