GET /api/v0.1/hansard/entries/993824/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 993824,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/993824/?format=api",
"text_counter": 130,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa kuchangia ombi la Taarifa kutoka kwa Seneta wa Kitui, Sen. Wambua. Maswala ya elimu ni muhimu sana kwa vijana wetu ambao wanasoma. Ni jambo la kusikitisha kwamba TSC imezembea katika kulipa marupurupu ya walimu ambao wamepandishwa vyeo kuwa naibu wa walimu wakuu."
}