GET /api/v0.1/hansard/entries/993826/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 993826,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/993826/?format=api",
"text_counter": 132,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Shule nyingi ambazo ziko katika maeneo ya mashambani zimesahaulika kivifaa na kiwalimu. Katika shule hizo matokeo ya mitihani ya kitaifa huwa si bora. Taarifa hii imeletwa katika wakati muafaka. Suala hili haliko Kitui pekee yake, liko katika sehemu nyingi ambazo waalimu kama hao wamenyimwa vyeo na marupurupuru yao. Aidha marupurupu wanayopata hayaambatani na vyeo hivyo. Kwa hivyo, hamu yao ya kufanya kazi haipo."
}