GET /api/v0.1/hansard/entries/993829/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 993829,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/993829/?format=api",
"text_counter": 135,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Asante sana, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Nchi hii ina shida sana kuhusu mambo ya walimu. Shida hii si Kitui pekee yake, bali hili ni suala la Kenya nzima. Utakuta kama hao walimu anaosema Seneta mwenzetu wa Kitui, kwamba, mtu anafanywa kuwa kaimu mwalimu mkuu kwa miaka minne au mitano. Mwalimu The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}