GET /api/v0.1/hansard/entries/993888/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 993888,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/993888/?format=api",
"text_counter": 194,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Singependa kumwingilia dada yangu Sen. Kihika katika Mswada wake ambao ni muhimu sana. Lakini, nilikuwa naomba ungefanye uamuzi. Kuna Seneta wengi hivi sana, zaidi ya saba ambao wako katika ukumbi ule uko nje. Hapa ndani tukiangalia, kuna nafasi nyingi ambazo wanaweza kuja wakakaa hapa, kwa upande huu an upande ule. Je, ni haki ikiwa wale Seneta wataketi kule ilhali nafasi iko ndani ya Chumba cha Seneti? Badala ya kuenda na list, kama mtu amechelewa, hata kama nusu saa, badala ya wengine kuketi kule na nafasi ziko hapa ndani ya Chumba cha Seneti, ingekuwa bora The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}