GET /api/v0.1/hansard/entries/994118/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 994118,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/994118/?format=api",
    "text_counter": 212,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "tukaweza kubadilisha mfumo wa kuweza kupambana na ugonjwa wa UKIMWI. Ilikuwa ukiingia katika vituo vile unashauriwa ya kwamba ukiugua ugonjwa huo si mwisho wa maisha utaweza kuishi, kuendelea na maisha kama kawaida bora uweze kunywa dawa, kuomba na kuishi maisha ya positivethinking."
}