GET /api/v0.1/hansard/entries/994121/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 994121,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/994121/?format=api",
    "text_counter": 215,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, lazima Wizara ya Afya iwe na mfumo wa kuondoa unyanyapaa ili wananchi waweze kupewa ushauri nasaha ili ukiingia pale kufanyiwa uchunguzi wa virusi vya korona una uhakika kwamba si hukumu ya kifo. Katika sehemu nyingi kama vile mji wa kale, wananchi wengi walikataa kufanyiwa uchunguzi wa korona wakati ule mass testing ilipoletwa wengi hawajajua jambo gani watafanya baada ya kupatikana na virusi vya korona. Ilikuwa pia serikali imeweka malipo ya wale ambao The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}