GET /api/v0.1/hansard/entries/994125/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 994125,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/994125/?format=api",
"text_counter": 219,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Tumeona katika nchi jirani, Rais Magufuli ijapokuwa watu walisema kwamba haelewi, ameona kwamba ipo haja ya maisha kuendelea Virusi vya Korona vikuwepo au visikuwepo, kwa sababu ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine. Tuliwapoteza watu 200 kwa mafuriko katika nchi ya Kenya hivi majuzi na watu wengine 20 kwa sababu ya polisi kutekeleza curfew na kudhulumu haki za binadamu kwa kupigwa."
}