GET /api/v0.1/hansard/entries/994129/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 994129,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/994129/?format=api",
    "text_counter": 223,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": ". Pia, kuna madaktari wengi ambao wamefunga zahanati zao kwa sasa kwa sababu hakuna wagonjwa wanaoenda pale. Ipo haja ya hazina kuwekwa ili wananchi waweze kupewa mikopo au ruzuku kulingana na kodi ambayo mtu anapeleka kwa Shirika La Ukusanyaji Ushuru (KRA) kila mwaka. Mhe. Bi. Spika wa Muda, bila kuongea zaidi ya hapo, ninaunga mkono Ripoti hii na kuomba Maseneta wajitokeze kwa wingi siku ya Jumanne tuhakikishe kwamba tumepitisha ule Mswada wa COVID-19 Pandemic Bill, 2020, ili kuhakikisha kwamba tuna mwongozo wa muda mrefu kwa maswala kama haya. Asante Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii."
}