GET /api/v0.1/hansard/entries/994205/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 994205,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/994205/?format=api",
    "text_counter": 36,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Kwanza, nataka kumshukuru sana ndugu yangu na jirani, Seneta wa Kaunti ya Lamu. Hii Taarifa ina umuhimu wake hususan katika nchi nzima. Miaka nenda miaka rudi, tunaona ya kwamba ni lazima kuwe na gharika ambayo itapoteza binadamu. Tumechoka kupoteza Wakenya kila mwaka kwa sababu ya gharika. Ni jambo la kusikitisha kuona nchi zingine hazina maji lakini ukulima wao ni bora. Nchi kama hizi ni Israeli na Misri ambazo ziko katika jangwa na maji ya mvua The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}