GET /api/v0.1/hansard/entries/994207/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 994207,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/994207/?format=api",
    "text_counter": 38,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Ni lazima Serikali iwajibike kwa upande wa kuangalia mambo ya mafuriko. Ufisadi upo katika maofisi ambayo yanatakikana kutengeneza dams. Inafaa waache kufikiria matumbo yao badala ya kutengeneza vipeo ambavyo vinaweza kuzuia maji kusiwe na mudslides, mafuriko, ama mito kuvunja viungo vyao. Hata madaraja yetu yote yameharibiwa na mafuriko."
}