GET /api/v0.1/hansard/entries/994941/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 994941,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/994941/?format=api",
    "text_counter": 250,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante Mhe. Spika kwa kunipa fursa hii kumpa kongole Sen. (Prof.) Kamar kwa kuchaguliwa kwake kama Naibu Wa Spika wa Seneti. Kuchaguliwa kwake ni jambo kubwa sana katika nchi yetu kwa sababu tunaweza kuwapa mamlaka wanawake katika nchi yetu na kutambua kwamba kuna umuhimu wa wao kuwa pamoja na sisi katika kuongoza nchi hii."
}