GET /api/v0.1/hansard/entries/994942/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 994942,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/994942/?format=api",
"text_counter": 251,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Nilibahatika kusafiri na Sen. (Prof.) Kamar kwenda Belgium, Mwaka wa 2018 kuhudhuria Mkutano wa African, Caribbean & Pacific Parliamentary Assembly (ACP). Ijapokuwa ilikuwa mara yangu ya kwanza, kupitia kwa ushauri na mwongozo wake, niliweza kuhudumu katika zile kamati nilizochaguliwa kule kama ambaye nilikuwa na uzoefu kabla ya hapo."
}