GET /api/v0.1/hansard/entries/994943/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 994943,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/994943/?format=api",
    "text_counter": 252,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Vile vile, yeye ni mfanyakazi kwa sababu katika mikutano tulioweza kufanya kule, mingine ilikuwa inaendelea mpaka saa tatu usiku. Tuliweza kuhudhuria yote na kuhakikisha kwamba mchango wetu katika mikutano ile umeweza kusikika. Vile vile, tuliona kwamba tulikuwa tumefanya kazi ya kueleweka."
}