GET /api/v0.1/hansard/entries/994944/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 994944,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/994944/?format=api",
    "text_counter": 253,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Kuchaguliwa kwake katika Bunge hili la Seneti na tukiangalia uzoefu wake, ina maana kuwa Seneti hii itasaidika pakubwa kwa uongozi ambao ataweza kuleta. Katika kila kazi kuna misukosuko, lakini tumeona kwamba Sen. (Prof.) Kamar kupitia kwa tajriba na elimu yake yote, yatamsaidia kuhakikisha kwamba, amevuka misukosuko ile."
}