GET /api/v0.1/hansard/entries/994945/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 994945,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/994945/?format=api",
    "text_counter": 254,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Ningependa kuwapa kongole wale wote ambao walikuwa wamejitokeza kuwania kiti cha Naibu wa Spika. Wote kama Maseneta ni watu ambao wanaweza kufanya kazi hiyo, lakini wakaamua na kuona kwamba Sen. (Prof.) Kamar anafaa zaidi kuliko wao. Hao pia tunawapa pongezi kwa uamuzi wao. Sote katika Bunge la Seneti tutashirikiana kuhakikisha kwamba maslahi ya wananchi wa Kenya na kaunti zetu yanawekwa mbele."
}