GET /api/v0.1/hansard/entries/994980/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 994980,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/994980/?format=api",
"text_counter": 289,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kumpa Sen. (Prof.) Kamar kongole. Ninamjazia sifa tele. Maseneta wenzangu wametoa sifa za kila aina kumtuza yeye. Ninajua kwamba alipokua katika Panel ya Spika alikuwa anaendesha shughuli za Seneti sawa sawa. Nina imani kuwa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu utaendeleza kazi ya Naibu Spika kwa uzuri na wema."
}