GET /api/v0.1/hansard/entries/997021/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 997021,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/997021/?format=api",
"text_counter": 886,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": " Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nimesimama kuunga mkono Mswada huu na kuipongeza Kamati. Ni vizuri kuwa na sheria za utangazaji au matangazo ya barabarani. Wakati mwingine Kamati ikikaa, ningeomba wafikirie kama haya mazuri waliyopanga saa hii ili wapange katika hizi mabodi za barabarani za kutangaza kusiwe na wale akinamama wanaotumika saa zingine kuonyesha uchi. Saa zingine yale matangazo yanafanya wanawake wanaonekana wakiwa wamevaa nguo fupi sana. Kamati ifuatilie suala hili."
}