GET /api/v0.1/hansard/entries/997022/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 997022,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/997022/?format=api",
    "text_counter": 887,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Pia, katika upande wa Lamu Mashariki, hatuna sehemu nyingi za kutangaza kwa sababu barabara ya kutoka ni moja ambayo ni ya Kisiwa cha Pate. Kuna pahali pazuri sana kwa kipandio. Pengine wengine hawataelewa kipandio ni nini. Kipandio ni bridge ambayo saa hii inatumiwa na binadamu kwa kutembea. Ikiongezwa kidogo na Serikali, itapita magari. Basi pale kunaweza kutumika kuwekwa mabodi mengi ya kutangazia."
}